Miaka 43 ya Muungano kati ya Tanganyika na Zanzibar | Matukio ya Kisiasa | DW | 26.04.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Kisiasa

Miaka 43 ya Muungano kati ya Tanganyika na Zanzibar

Tanzania leo inaadhimisha miaka 43 ya muungano kati ya iliokuwa Tanganyika na visiwa vya Zanzibar.

Hata hivyo miaka ya karibuni imeshuhudia kuzidi kwa manung'uniko kutoka pande zote mbili juu ya kasoro mbali mbali ikiwa ni pamoja na muundo wa muungano wenyewe. Miongoni mwa hoja ni ukosefu wa ridhaa ya wananchi wa pande zote mbili na kutofahamika kwa uwazi kama kulikuweko na waraka uliounda muungano huo au la.

Abubakar Liongo amezungumza na Katibu wa kwanza wa Baraza la mapinduzi Zanzibar Balozi Salim Rashid na kwanza kuhusu masuala hayo mawili na hali ya muungano wenyewe alikuwa na haya ya kusema.

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com