1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Miaka 30 ya utawala wa Yoweri Museveni, Uganda

Mohammed Abdulrahman Mohammed4 Februari 2016

Mwaka 1986 jeshi la NRA likiongozwa na rais wa sasa wa Uganda Yoweri Museveni, lilitwaa madaraka baada ya vita vya muda mrefu vya chini kwa chini. Mwaka huu Museveni ametimiza miaka 30 ya utawala nchini humo. Kulijadili hilo, kipindi cha maoni kimewaalika Monday Akol Amazima kutoka Kampla, pamoja na wachambuzi Richard Shaba kutoka Dar es Salaam na Salim Said Salim.

https://p.dw.com/p/1Hpa5