Mgomo wa walimu nchini Kenya waingia siku ya pili | Matukio ya Afrika | DW | 04.09.2012
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Afrika

Mgomo wa walimu nchini Kenya waingia siku ya pili

Nchini Kenya mgomo wa waalimu leo umeingia katika siku ya pili na kuathiri shughuli nzima za sekta ya elimu

Wanafunzi shuleni wakikabiliwa na mgomo wa walimu

Wanafunzi shuleni wakikabiliwa na mgomo wa walimu

Aboubakary Liongo amezungumza na mwandishi wetu Eric Ponda akiwa Mombasa kutaka kujua hali mgomo katika eneo hilo la pwani.

(Kusikiliza mazungumzo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)

Mwandishi:Aboubakary Liongo

Mhariri:Othman Miraji

Sauti na Vidio Kuhusu Mada