1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Masuala ya Jamii

Mgomo wa Madaktari nchini Tanzania

Mgomo wa madaktari unaoendeleo nchini Tanzania umeanza kuvuruga huduma za afya huku baadhi ya hospitali ikiwemo ile ya taifa muhimbili ikisimamisha baadhi ya huduma zake.

Madaktari wagoma tena

Madaktari wagoma tena

Kwa ujumla kuna hali ya masikitiko na manung'uniko toka kwa wananchi ambao baadhi yao wameanza kuwaondosha wagonjwa wao toka hospitalini.

Kutoka Daresalaam George Njogopa na taarifa kamili.

(Kusikiliza taarifa hiyo tafadhali bonyeza alama ya spika hapo chini)

Mwandishi: George Njogopa

Mhariri: Mohamed Abdulrahman

Sauti na Vidio Kuhusu Mada