Nchini Tanzania wakati madaktari na wafanyakazi wa sekta ya umma wakianzisha mgomo jumla ya utoaji huduma katika hospitali na vituo vya afya imeanza kuzorota kutokana na madaktari kutofika kwenye vituo vya kazi.
https://p.dw.com/p/13oop
Matangazo
Mwenzetu George Njogopa kutoka Dar e salaam amekuwa akifuatilia kwa karibu vute nikuvute hiyo kati ya serikali na madaktari hao.