1. Inhalt
 2. Navigation
 3. Weitere Inhalte
 4. Metanavigation
 5. Suche
 6. Choose from 30 Languages

Masuala ya Jamii

Mgomo wa madaktari nchini Kenya

Wananchi wa Kenya wamo hatarini kugoma kwa madaktari.

default

Mji mkuu wa Nairobi,Kenya

Nchini Kenya Maisha ya Maelfu ya wagonjwa yamo hatarini baada ya chama cha madaktari nchini humo kuamua kugoma wakitaka nyongeza ya mshahara ya asilimia mia tatu baada ya ilani waliyotoa wiki mbili zilizopita kumalizika muda wake leo.

Mwandishi wetu kutoka Alfred Kiti na taarifa hiyo…..

Mwandishi Alfred Kiti

Mhariri Yusuf Saumu

Sauti na Vidio Kuhusu Mada

 • Tarehe 05.12.2011
 • Mwandishi
 • Shirikisha wengine Tuma Facebook Google+
 • Chapisha Chapisha ukurasa huu
 • Kiungo http://p.dw.com/p/13N6H
 • Tarehe 05.12.2011
 • Mwandishi
 • Shirikisha wengine Tuma Facebook Google+
 • Chapisha Chapisha ukurasa huu
 • Kiungo http://p.dw.com/p/13N6H