1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mgogoro kati ya kundi la FNL Palipehutu na Serikali ya Burundi

6 Mei 2008

Wakati mgogoro kati ya kundi la FNL Palipehutu na serikali ya Burundi ukiendelea kuna taarifa kwamba kundi hilo limepewa muda wa siku kumi na viongozi wa eneo hilo la maziwa makuu warudi nyumbani.

https://p.dw.com/p/DucH

Ili kujua msimamo wa FNL kuhusiana na tamko hilo Saumu Mwasimba alizungumza na msemaji wake aliyeko Daresalaam nchini Tanzania Pastel Habimana na kwanza alikuwa na haya ya kusema.