1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Mfumo mpya wa elimu nchini Kenya

Kenya itaanza kutumia mfumo mpya wa elimu kwanzia mwaka ujao. Hii ni baada ya mfumo huo kufanyiwa majaribio katika zaidi ya shule 400 nchini kote ili kuhakiki ubora wake. Mfumo huo unalenga kumwezesha mwanafunzi kuishi maisha mazuri hata anapotafuta kazi. Thelma Mwadzaya ameandaa makala maalum kuhusu mfumo huo. Bonyeza usikilize

Sikiliza sauti 09:46