1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Meron atetea haki za wakimbizi wa Eritrea

8 Desemba 2015

Meron Estefanos ni mwanaharakati na muandishi habari wa Radio anayeishi nchini Sweden, aliye na asili ya Eritrea. Kwa miaka minne amekuwa akitetea haki za wakimbizi.

https://p.dw.com/p/1HJ68
DW TV Sendung Africa on the Move Meron Estefanos
Picha: DW

Meron atetea haki za wakimbizi wa Eritrea