1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Merkel ziarani Mashariki ya Kati

Maja Dreyer5 Februari 2007

Kansela wa Ujerumani, Angela Merkel, leo hii anaendelea ziara yake ya siku nne katika Mashariki ya Kati. Baada ya kuzitembelea Misri na Saudi-Arabia, leo Bi Merkel aliwasili nchini Umoja wa Falme za Kiarabu. Pamoja na kuzungumzia mkakati wa kutafuta suluhisho kati ya Wapalestina na Waisraeli, Angela Merkel pia anafanya mazungumzo juu ya kurahisisha biashara kati ya eneo hili na Umoja wa Ulaya.

https://p.dw.com/p/CHKk
Kansela Merkel na mfalme Abdullah
Kansela Merkel na mfalme AbdullahPicha: AP