1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

MCC yasitisha misaada kwa Tanzania

Isaac Gamba29 Machi 2016

Serikali ya Marekani kupitia taasisi yake inayohusika na misaada ya MCC imetangaza kusitisha awamu ya pili ya misaada yake kwa Tanzania. Professor Honest Ngowi mtaalam wa masuala ya uchumi kutoka Tanzania, anatathimini athari za hatua hiyo

https://p.dw.com/p/1ILMa