1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mazungumzo ya Burundi yasuasua mjini Arusha

Isaac Muyenjwa Gamba13 Julai 2016

Mazungumzo ya Amani ya Burundi yakiendelea mjini Arusha nchini Tanzania, kumejitokeza hali ya sintofahamu. Baadhi ya wajumbe wametishia kuyasusia mazungumzo hayo, kwa madai ya kwamba kuna wenzao wanaohusika na machafuko nchini Burundi.

https://p.dw.com/p/1JOPT

Sikiliza maoni ya mchambuzi wa masuala ya kisiasa nchini Tanzania, Professor Mwesiga Baregu.