1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matatizo ya usafiri wa umma jijini Nairobi, Kenya

17 Septemba 2009

Mfumo wa usafiri wa umma umevurugika leo asubuhi mjini Nairobi.

https://p.dw.com/p/Jj4F
Jiji la Nairobi leo hii lilikumbwa na tatizo la usafiriPicha: picture-alliance/dpa

Hii Imesababisha watu wengi kushindwa kufika kwa wakati muafaka kazini kutokana na kukamatwa kwa magari mengi ya abiria kwa sababu ya kushindwa kufikisha viwango vinavyohitajiwa vya usalama.

Alfred Kiti kutoka Nairobi na taarifa kamili.

Mtayarishaji:Alfred Kiti

Mpitiaji:Sekione Kitojo