1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya mchana 29.04.2017

Yusra Buwayhid
29 Aprili 2017

Viongozi wa mataifa 27 ya Umoja wa Ulaya wakutana kulijadili suala la Brexit. Maelfu wakusanyika mjini Cairo kumuona Papa Francis. Rais wa Ufilipino, Rodrigo Duterte, aonya eneo la kusini mashariki mwa Asia lakabiliwa na tishio la madawa haramu.

https://p.dw.com/p/2c7jv