1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Mchana 22.05.2016

SK2 / S02S22 Mei 2016

Austria inaingia katika duru ya pili ya uchaguzi huku kiongozi wa chama cha Uhuru Norbert Hofer akiwa anaongoza, Sauti ya mawasilaino baina ya rubani wa EgyptAir na mwongozaji ndege yadhihirisha hakujakuwa na matatizo kabla ya ndege hiyo kuanguka, Na jeshi la Iraq lajitayarisha kuukomboa mji wa Falluja

https://p.dw.com/p/1IsXh