1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Mchana 22 Januari 2017

Mohamed Dahman22 Januari 2017

Miongoni mwa yaliyomo kwenye matangazo haya ni maandamano ya wanawake wa Marekani kumpinga Rais Donald Trump, kuondoka kwa Yahya Jammeh nchini Gambia huku pakitajwa ahadi ya kutochukuliwa hatua za kisheria, na pia ajali na mauaji nchini Pakistan na India.

https://p.dw.com/p/2WDTe