1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya mchana 19.08.2017

Yusra Buwayhid
19 Agosti 2017

Hali ya kitisho Uhispania yafika kiwango cha juu baada ya mashambulizi ya Barcelona na Cambrils. Umoja wa Mataifa waonya Yemen yakabiliwa na majanga matatu, vita, kipindupindu na njaa. Rais wa Nigeria Muhammadu Buhari arudi nyumabani leo akitoka kwenye matibabu London.

https://p.dw.com/p/2iV0S