1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Mchana 06.05.2018

Zainab Aziz
6 Mei 2018

Uturuki imesema italipiza kisasi ikiwa Marekani itazuia mauzo ya silaha kwa nchi yake. Israel yasema imelipiza kisasi dhidi ya Hamas kwa kuishambulia kwa mabomu. Rais wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa afanya mageuzi yanayowashangaza wengi nchini humo.

https://p.dw.com/p/2xFpA