1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya mchana 04.11.2017

Zainab Aziz
4 Novemba 2017

Kwenye matangazo yetu leo mchana: Mahakama ya Uhispania imetoa waranti wa kukamatwa kwa aliyekuwa kiongozi wa jimbo la Catalaonia Carles Puigdemont na washirika wake wanne. Maelfu ya watu wataandamana kwenye mkutano wa kimataifa juu ya mabadiliko ya Tabianchi wa mjini Bonn. Zaidi ya wakimbizi 30 wamekufa katika ajali ya boti kwenye bahari ya Mediterania.

https://p.dw.com/p/2n16Y