Kiongozi wa jimbo la Catalonia ahimiza upinzani wa kidemokrasia baada ya kujitangazi uhuru hapo jana. Hali yatulia nchini Kenya kufuatia fujo za uchaguzi wa marudio. Waziri wa ulinzi wa Marekani James Mattis amesema kitisho cha nyuklia cha Korea Kaskazini chaongezeka.