Matangazo ya Jioni 11.03.2018 | Mada zote | DW | 11.03.2018
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Matangazo ya Jioni 11.03.2018

Waasi nchini Syria wanatafuta makubaliano na serikali ya kusitisha mapigano Ghouta Mashariki yaliyowaua zaidi ya watu 1,000//Rais wa Marekani Donald Trump atakutana na kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un iwapo hakutakuwa na majaribio ya kinyuklia na makombora//Xi Jinping kuwa Rais wa kudumu China baada ya bunge kufanyia mageuzi katiba kuondo ukomo wa kuhudumu kwa rais.

Sikiliza sauti 60:00