1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya jioni 07.10.2017

Yusra Buwayhid
7 Oktoba 2017

Kansela wa Ujerumani Angela Merkel aunga mkono serikali ya muungano na chama cha FDP na cha chama cha Kijani. Maelfu waandamana Uhispania juu ya mzozo wa jimbo la Catalonia. Washambuliaji 14 na polisi 2 wauawa katika mashambulizi Msumbiji.

https://p.dw.com/p/2lQws