1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Asubuhi, saa 12:00 (Afrika Mashariki)

Daniel Gakuba
20 Novemba 2017

https://p.dw.com/p/2nuKZ

Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe akaidi miito inayomtaka kujiuzulu, Mazungumzo ya kuunda serikali ya muungano wa vyama hapa Ujerumani yamevunjika, Watu wanne wameuawa katika ghasia nchini Kenya wakati nchi hiyo ikisubiri uamuzi wa mahakama kuu juu ya uhalali wa uchaguzi mpya wa rais.