1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya asubuhi 30.06.2017

Sylvia Mwehozi
30 Juni 2017

Tuliyokuandalia ni pamoja na; Ujerumani inajiandaa kuhalalisha ndoa za watu wa jinsia mmoja wiki hii. Theresa May aweka bayana mipango ya serikali yake kuwahusu raia wa Umoja wa Ulaya wanaoishi Uingereza. Visa vya wagombea wa kike kushambuliwa au kudhulumiwa wakati wanaendesha kampeni za uchaguzi vinaripotiwa kuongezeka nchini Kenya.

https://p.dw.com/p/2ffX8