1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya asubuhi 25.03.2017

TSA / S08S25 Machi 2017

Viongozi wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Ushirikiano na Maendeleo ya Pembe ya Afrika-IGAD wanakutana mjini Nairobi leo. Kusainiwa kwa Mikataba ya Roma tarehe 25 mwezi wa Machi mwaka 1957 ndiyo ulikuwa wakati wa kuzaliwa kwa Umoja wa Ulaya. Maonesho makubwa kabisa duniani ya teknolojia ya mawasiliano na habari ya CeBIT, huko mjini Hannover yamemalizika jana jioni.

https://p.dw.com/p/2ZwA0