1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Asubuhi 16.08.2017

Sylvia Mwehozi
16 Agosti 2017

Kizazi kipya cha makundi ya wazalendo wa Kizungu kinachipukia chini ya utawala wa rais wa Marekani Donald Trump anayehimiza juu ya utukufu wa Marekani kwanza. Jumuiya ya nchi za Kusini mwa Afrika, SADC, zinapaswa kutumia maadhimisho yake ya miaka 25 kuthibitisha kujitolea kwao kuboresha heshima kwa haki za kibinadamu katika nchi zao. Taifa la Yemen liko katika janga kubwa la kibinaadamu.

https://p.dw.com/p/2iITv