1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya asubuhi 15-01.2017

Zainab Aziz
15 Januari 2017

Kwenye matangazo yetu leo asubuhi: Kansela wa Ujerumani Angela Merkel kusisitiza umuhimu wa biashara huru duniani kwa rais ajae wa Marekani. Rais wa China Xi Jinping afanya ziara yake ya kwanza kwenye kongamano la uchumi la kila mwaka mjini Davos, Uswisi. Ubalozi wa mamlaka ya Palestina wafunguliwa katika Vatican

https://p.dw.com/p/2Voyp