1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Asubuhi 10.12.2016

Yusra Buwayhid
10 Desemba 2016

Tarehe 10 Disemba, Zanzibar yatimiza miaka 53 ya kupata uhuru. Leo pia ni Siku ya Kimataifa ya Haki za Binaadamu. Na, Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Fedha la Kimataifa IMF, Christine Lagarde, anafikishwa mahakamani Jumatatu.

https://p.dw.com/p/2U3oA