1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Matangazo ya Asubuhi 04.02.2017

Zainab Aziz
4 Februari 2017

Kwenye matangazo yetu leo asubuhi. Umoja wa Ulaya wapitisha mkakati wa kuzuia wahamiaji kutoka Afrika. Mtu wa pili akamatwa baada ya shambulio katika jumba la makumbusho la Louvre mjini Paris. Marekani yaiwekea Iran vikwazo vipya baada ya nchi hiyo kufanya jaribio la Kombora

https://p.dw.com/p/2Wxpe