1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Maskini wafungiwa ili wasikae mitaani Rwanda

Mohamed Karama Dahman4 Agosti 2016

Rwanda inawafungia maskini wasionekane hadharani takariban katika vituo 28 vya mpito nchini humo ambapo vipigo ni jambo la kawaida katika vituo hivyo. Inadaiwa kuna waliopoteza maisha yao katika vituo hivyo au baada ya kuachiliwa. Mbiu ya Mnyonge inaangazia ripoti ya Shirika Human Rights Watch iliyobainisha hayo.

https://p.dw.com/p/1JbQt