1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Mashine za usalama za Israel zazua ghadhabu kwa waumini wa Kiislamu

Waumini wa Kiislamu mjini Jerusalem wameghadhabishwa na mashine za usalama zilizowekwa na Israel katika lango la Msikiti wa Al Aqsa. Mazungumzo ya Uingereza kujiondoa kwenye Umoja wa Ulaya yaingia duru ya pili Brussels. Mahakama ICC na Denmark zasaini mkataba kuwezesha jamii ya Acholi ya Uganda kufuatilia kesi dhidi ya Dominic Ongwen kupitia runinga na redio. Papo kwa Papo 17.07.2017

Tazama vidio 02:12