1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mashariki mwa Kongo:Warranti yatolewa na ICC kumkamata Ntaganda

15 Mei 2012

Mahakama ya kimataifa ya ICC imetoa waranti za kuwakamata jenerali Bosco Ntaganda aliyeasi jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo pamoja na kiongozi mkuu wa waasi wa Rwanda wa chama cha FDLR, Sylvestre Mudachumura.

https://p.dw.com/p/14vjT
Jenerali Jean Bosco Ntaganda atafutwa
Jenerali Jean Bosco Ntaganda atafutwaPicha: dapd

Hiyo ni waranti ya pili kutolewa na ICC kwa ajili ya kumkamata jenerali Bosco Ntaganda. Nini hasa kinatakiwa kufanywa ili wababe hao wa kivita washikwe?

Jibu lipo kutoka kwa mwandishi wetu John Kanyunyu kutoka Goma, mashariki mwa Kongo.

(Kusikiliza ripoti hiyo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)

Mwandishi: John Kanyunyu

Mhariri: Othman Miraji

Ruka sehemu inayofuata Gundua zaidi

Gundua zaidi