1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mashambulizi ya bomu yamwaga damu Irak

23 Novemba 2007
https://p.dw.com/p/CSTF

Mashambulizi mawili ya bomu nchini Irak yamesababisha umwagaji mkubwa wa damu.Bomu lililoripuka katikati ya soko mjini Baghdad limeua watu 13.Na katika mji wa Mosul kaskazini mwa Irak,askari polisi 3 na raia 10 waliuawa katika shambulizi la kujitolea maisha muhanga.