1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mashambulio ya kigaidi Ulaya

1 Desemba 2015

Mashambulio, misako na tahadhari za kutokea mashambulio zinaiweka dunia katika hali ya wasiwasi. Tangu Septemba 11, 2001 Marekani, hata Ulaya imeshambuliwa. Haya ni baadhi ya matukio tangu wakati huo.

https://p.dw.com/p/1HD86
Shambulio la kigaidi Ufaransa
Picha: Reuters/C. Hartmann