Marktplatz – Kijerumani cha Biashara | Marktplatz | DW | 03.02.2009
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Marktplatz

Marktplatz – Kijerumani cha Biashara

Je unataka kuanzisha biashara ya kioski na hujui itakuwaje? Ama umenunua gari lililotumika ambalo haliendi kwa kasi uliyotarajia? Utapata maswala haya na mengine mengi kila siku kwenye somo la Marktplatz la lugha ya Kijerumani ya kibiashara. Somo hili litakupa msamiati unaofaa katika mazingira tofauti yanayohusiana na biashara. Somo hili linashughulikia kiwango cha B2 cha Tathmini ya Ulaya ya Ujuzi wa Lugha na linalenga wanafunzi wa lugha wanaokifahamu Kijerumani vizuri.