1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Marekani kuitambua Jerusalem kuwa mji mkuu wa Israel

Zainab Aziz Salim-Mtullya6 Desemba 2017

Uamuzi anaotarajia kuufanya Rais wa Marekani Donald Trump kuhusu kuuhamisha ubalozi wa nchi yake huko nchini Israel kutoka mjini Tel Aviv na kuupeleka Jerusalem unazusha hofu kuhusu matumaini ya amani Mashariki ya Kati

https://p.dw.com/p/2osNK