1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mapigano yaendelea Mashariki mwa Congo

18 Mei 2012

Mapigano makali yamezuka baina ya jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo na waasi wa M23, katika wilaya ya Rutsuru nchini humo.

https://p.dw.com/p/14xNY
Waasi nchini Congo
Waasi nchini CongoPicha: picture alliance/dpa

Vita vilivyozuka baina ya jeshi la Kongo na waasi yapita wiki tatu sasa, vimesababisha raia zaidi ya 30,000 kukimbilia usalama katika nchi jirani za Rwanda na Uganda.

Kusikiliza ripoti ya John Kanyunyu, mwandishi wetu wa mashariki mwa Congo, bonyeza alama ya spika za masikioni

Mwandishi: John Kanyunyu

Mhariri: Josephat Charo