1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mapigano Mashariki mwa Kongo

10 Septemba 2008

Jeshi la waasi linaloongozwa na Laurent Nkunda katika eneo la mashariki ya Congo, linaripotiwa kuendelea kupambana na majeshi ya serikali.

https://p.dw.com/p/FFaP
Laurent Nkunda kiongozi wa waasi Mashariki mwa Kongo (DRC)Picha: AP

Kuna ripoti pia kuwa majeshi ya waasi yamezuia barabara kati ya miji ya Bukavu na Goma hali ambayo inaweza kuzuwia shughuli za kawaida za wakaazi wa miji hiyo.

Sekione Kitojo alipata fursa ya kuzungumza na msemaji wa jeshi la waasi Kambusa Ngeze Jean Michel ambae kwanza alimuuliza ukweli wa taarifa hiyo kuhusu kukamatwa kwa eneo la barabara hiyo muhimu na waasi.


O-ton Jean Michel



►◄