1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mapigano Mashariki mwa Kongo

29 Aprili 2008

Kundi la wanamgambo wa Mai Mai, Pareko, huko Mashariki mwa kongo, linadai kwamba jeshi la Serikali lilichoma nyumba za raia katika eneo la Nyamirima.

https://p.dw.com/p/DqmP
Wanajeshi wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya KongoPicha: AP

Wakati huo huo, mwakilishi maalum wa katiba mkuu wa umoja wa mataifa katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo,Allen Doss, anakanusha madai kwamba baadhi ya wanajeshi wa Umoja wa Mataifa huko Ituri walihusika na kuuza silaha na kupewa dhahabu.


Zaidi anaripoti mwandishi wetu John Kanyunyu