1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mapigano Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo

5 Septemba 2007

Mapigano katika wilaya ya Masisi Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo baina ya Jeshi la serikali na waasi wa Laurent Nkunda yamesababisha maelfu ya raia kuyahama makazi yao na kukimbilia mahala pengine.

https://p.dw.com/p/CH8U

Idadi ya wakimbizi wa ndani imeongezeka kwa kiwango kikubwa katika eneo hilo kutokana na mapigano hayo mapya.

Mwandishi wetu John Kanyunyu kutoka Mashariki mwa Kongono ana taarifa kamili.