1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mapigano makali Kivu ya kaskazini,DRC

20 Mei 2013

Kumezuka mapigano makali karibu na mji mdogo wa kibati katika mkoa wa kivu ya kaskazini mashariki ya jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kati ya kundi la waasi wa M23 na jeshi la serikali.

https://p.dw.com/p/18avg
Mapigano mkoa wa kivu ya Kaskazini
Mapigano mkoa wa kivu ya Kaskazini

Mapigano hayo yaliyoanza asubuhi ya leo (20.05.2013) yamezusha wasiwasi katika mji wa Goma ambao ni mji mkuu wa Kivu ya Kaskazini.Mapigano hayo yanashuhudiwa siku mbili kabla ya ziara ya katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki Moon nchini Kongo.

Mwandishi wetu John Kanyunyu anaifuatilia hali ya mambo na ametutumia taarifa ifuatayo kutoka Goma. Kusikiliza taarifa hiyo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.

Mwandishi: John Kanyunyu

Mhariri: Mohamed Abdul-Rahman

Ruka sehemu inayofuata Gundua zaidi

Gundua zaidi