Mapigano kati ya waasi wa Tamil na majeshi ya serikali yapamba moto nchini Sri Lanka | Habari za Ulimwengu | DW | 28.01.2008
 1. Inhalt
 2. Navigation
 3. Weitere Inhalte
 4. Metanavigation
 5. Suche
 6. Choose from 30 Languages

Habari za Ulimwengu

Mapigano kati ya waasi wa Tamil na majeshi ya serikali yapamba moto nchini Sri Lanka

COLOMBO:

Nchini Sri Lanka ,kwa uchache waasi wa Tamil Tigers wanaofikia 13 na wanajeshi wawili wa serikali wameuawa katika mapiganao mapya kaskazini mwa nchi hiyo.Vifo hivyo sasa vinajumulisha vifo vya watu 55 kutoka mapigano ya mwishoni mwa juma.Mapema mwezi huu ,serikali ya Sri Lanka ilijiondoa rasmi katika mpango wa kutoshambuliana wa mwaka wa 2002,ikisema waasi wameutumia mda huo kujitayarisha kwa mapambano.

 • Tarehe 28.01.2008
 • Shirikisha wengine Tuma Facebook Google+
 • Chapisha Chapisha ukurasa huu
 • Kiungo http://p.dw.com/p/Cyq2
 • Tarehe 28.01.2008
 • Shirikisha wengine Tuma Facebook Google+
 • Chapisha Chapisha ukurasa huu
 • Kiungo http://p.dw.com/p/Cyq2

Sikiliza Matangazo Yetu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com