1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Maoni ya wananchi kuhusu hotuba ya Rais Karume wa Zanzibar

23 Novemba 2009

Tukielekea nchini Tanzania, huko visiwani Zanzibar, wananchi wa visiwa hivyo wamekuwa na hisia tofauti kufuatia hotuba ya jana ya rais wa visiwa hivyo Amani Abeid Karume.

https://p.dw.com/p/KdjQ

Rais Karume alitangaza mwanzo mpya wa kuondoa uhasama kati ya chama cha CUF upinzani na chama tawala cha CCM. Vyama hivyo viwili kwa miaka mingi vimekuwa na uhasama ,huku tofauti zao za kisiasa zikiwaathiri kwa kiasi kikubwa wananchi wa visiwa hivyo.

Katika kukusanya maoni ya wananchi hao kwanza ni msikilizaji Fred Khamisi Hamadi kutoka eneo la Chemi Chemi visiwani humo.

Mkusanyaji : Jane Nyingi

Mpitiaji:Aboubakary Liongo