1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Malaria – Kipindi 4 – Iwapo dalili zinaendelea

16 Machi 2011

Je homa ya Karembo itapanda au kushuka? Kama ilivyo kwa magonjwa mengine, iwapo dalili zinaendelea ni lazima uonane na daktari kuzuia hali hiyo, hususan kwa maradhi kama malaria ambayo huja kwa haraka.

https://p.dw.com/p/QolJ