Makumbusho ya Olduvai Ngorongoro | Mada zote | DW | 04.10.2017
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Media Center

Makumbusho ya Olduvai Ngorongoro

Tazama vidio 02:23

Serikali ya Tanzania kupitia Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro kwa kushirikiana na Umoja wa Ulaya imekamilisha ujenzi wa Makumbusho mapya ya Olduvai  ambayo yanaonesha Chimbuko  la Binadamu (The Cradle of Humankind) katika Bara la Afrika. Zaidi mwandishi Charles Ngereza anaelezea.