1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Makao Makuu ya polisi yalipuliwa Sirnak, Uturuki

26 Agosti 2016

Waziri wa Ndani Bolivia Rodolfo Illanes auliwa na wachimba migodi, wanawake wawili wa Kihutu DRC wachomwa moto kwa tuhuma za kuhusika na kundi la waasi linalofanya mauaji ya hovyo, na mchezaji soka wa timu ya Real Madrid Cristiano Ronaldo ndiye mchezaji bora Ulaya 2016. Papo kwa Papo 26.08.2016

https://p.dw.com/p/1JqMk