Mahojiano na Kiongozi wa upinzani Azarias Ruberwa nchini Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo | Matukio ya Kisiasa | DW | 18.04.2007
  1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Kisiasa

Mahojiano na Kiongozi wa upinzani Azarias Ruberwa nchini Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo

Kiongozi wa chama cha upinzani RCD-Goma katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo na aliyekuwa mmojawapo wa makamu wanne wa zamani wakati wa serikali ya mpito Bw.Azarias Ruberwa,amesema yuko tayari kuwapokonya silaha wanamgambo wake bila ya masharti yoyote.

Ruberwa aliyasema hayo katika mahojiano na mwandishi wetu mjini Kinshasa, Saleh Mwanamilongo kuhusu hali ya kisiasa nchini humo ambapo alionya pia kuwa hatua yoyote ya kumtia nguvuni Kiongozi wa chama cha MLC Jean Pierre Bemba inaweza kuathiri mno mwenendo wa demokrasia nchini Kongo. Lakini kwanza akifafanua juu ya kuwa tayari kuwapokonya silaha wanamgambo wake, kiongozi huyo wa upinzani alisema:

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com