1. Inhalt
  2. Navigation
  3. Weitere Inhalte
  4. Metanavigation
  5. Suche
  6. Choose from 30 Languages

Matukio ya Kisiasa

Mahojiano na Balozi wa Kenya nchini Pakistan kuhusu shambulio la kutaka kuuliwa Bibi.Bhutto

Ulimwengu mzima unafuatilia kwa makini matukio ya nchini Pakistan hasa baada ya kutokea mashambulio ya kujitoa mhanga yaliyosababisha mauaji ya watu.

Bibi Benazir Bhutto anusurika katika shambulizi la Bomu

Bibi Benazir Bhutto anusurika katika shambulizi la Bomu

Unaweza kusikiliza matangazo yetu hapa

Kusikiliza matangazo ya Idhaa ya Kiswahili ya DW, tafadhali bonyeza alama ya spika ya masikioni hapo chini, na kuwasiliana nasi, tafadhali tuandikie moja kwa moja kupitia: kiswahili@dw.com