1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Mahojiano: Mashambulizi ya Mandera

Jane Nyingi
25 Oktoba 2016

Watu 12 wauawa katika mji wa kaskazini mashariki mwa Kenya, Mandera, ambapo kundi la kigaidi la al-Shabaab kutokea Somalia linatajwa kuhusika, yakiwa mashambulizi ya pili ndani ya wiki tatu kwenye mji huo wa mpakani.

https://p.dw.com/p/2Rflg