1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Maharusi watarajiwa wanapotumia siku za mwisho kuaga

Elizabeth Fredrick Shoo5 Agosti 2015

Baadhi ya tamaduni zina mila ya jamii kuwaaga rasmi maharusi watarajiwa kwa sherehe na zawadi muda mfupi kabla ya kufunga ndoa, lakini katika mataifa mengi ya Magharibi ni maharusi hao ndio wanaoaga kwa kukutana na marafiki wa zamani na baadhi ya wakati kufanya mambo ambayo watakuwa hawaruhusiki tena kuyafanya baada ya ndoa.

https://p.dw.com/p/1GAOZ